JESHI LA WANAMAJI LINAJUKUMIKA KULINDA MIPAKA YA KENYA BAHARINI
Ushujaa wao unadhihirika wanavyoshika doria baharini Ujasiri wao unabainika kwenye meli na ndani ya maji ya bahari Uthabiti wao unatokana na ushirikiano wao wanapokuwa kazini #JasiriMsiri
Read more